Leo nimetoka kwenda ,kusali nikakuta magari yamezuiwa, walikuwepo wakaniambia wamesimama zaidi ya lisaa ikabidi nirudi nyumbani sa hiyo ni sa 4 na robo.na Rais ametoka kama sa tano hivi inaonekana wakati magari yameanza kuzuiwa rais alikuwa bado amelala ,hivi nyie askari wa Mwanza mmetumwa kwa ajili ya udini au?yani hapa mwanza ishakuwa kero rais akija mbona Dar hawafanyi hivyo au huku mwanza usalama wake ni mdogo?tafadhali fungua kibarabara uende umetukwaza kiroho na kimwili.

duh,pole sana!
ungepiga mguu tu au hata kutembea walikua wanazuia?
kanisani ni mbali jua kali halafu si unajua huku mza tunaishi milimani ningerudisha gari nianze kushuka hadi kituoni ibada sa nne na nusu imagine hapo kama ningekuta kitu, ukweli nimekwazika ,what is so special in mza all the time when the man is here.nakwambia rais akiwa hap ni kama vile wengine hamruhusiwi kutumia magari yenu what the hell? dunia ya leo?