tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Msafara Wa Mgombea Urais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kupitia Chama Cha Wananchi CUF Gombo Samandito Gombo Ulivyosimamishwa Na Mamia Ya Wananchi Wa Kijiji Cha Kasota, Kata Ya Bugurura, Wilaya Ya Geita Vijijini, Mkoani Geita.
Soma pia: Mgombea Urais Samandito Gombo (CUF): Tutahakikisha haki bila ubaguzi kwa wenye nacho na wasio nacho
Soma pia: Mgombea Urais Samandito Gombo (CUF): Tutahakikisha haki bila ubaguzi kwa wenye nacho na wasio nacho