Msafara wa Dkt. Magufuli wapata ajali Dodoma

Msafara wa Dkt. Magufuli wapata ajali Dodoma

Naona Ukistaajabu ya LIFT MBEYA, Utaona ya TAAA DODOMA.



attachment.php
5.jpg
unnamed+(73).jpg

ASANTE MKUU kWA KUTUONYESHA KIPARA KATIKATI YA MATAA MAPYA !
 
Duh poleni...haya magari ya kisasa boya kweli...hapo hamna cha airbag wala babake airbag..
 
Magufuli kazi kutembea na wandishi wa habari taa za kuongozea barabarani nazo mpka uzinduzi?

Km4.8 unaweka jiwe ka msing?

Shame on u gambaz.!

Si ndo JK anaenda Lushoto kuzindua Semina rooms?
 
Poleni sana majeruhi,jamani tuacheni utani huyu meneja wa Tanroad wa Dodoma alikuwa anafanya nini Manyoni au alikuwa anakaimu kwa mkoa wa Singida. Tukitaka kuendelea tuwe makini na matumizi ya rasilimali.
 
Back
Top Bottom