Poleni sana ajali mbaya!
Thamani ya hayo magari ni madarasa mangapi shule za msingi, ni zahanati ngapi. Yangenunuliwa magari ya bei nafuu.
Hawana kazi za kufanya zaidi ya utalii wa ndani na nje ya nchi.
Rwanda mawaziri wanatumia landrover 110
Wanatumia l/rover wakienda wapi.si watembee kama ndio kigezo chako
Kwahiyo wewe unasapoti hao mafisadi wanavyotumia magari ya gharama kubwa na kuliingizia taifa nawalipa kodi mzigo mkubwa?
Fisadi ni wewe unayelaumu bure.sasa unataka waziri atembelee nini. Acha wivu.gombea ubunge na wewe
Fisadi ni wewe unayelaumu bure.sasa unataka waziri atembelee nini. Acha wivu.gombea ubunge na wewe
Alafu uelewe kuwa waziri siyo lazima utembelee v8,haijaandikwa ktk kanuni au ipo kikatiba.Ni ufisadi tu.
Kuwa waziri utembelee baiskeli.ndio sababu nakushari ugombee ubunge si vinginevyo
Wanatumia l/rover wakienda wapi.si watembee kama ndio kigezo chako