sawa sawa kabisa,ALAAH KABBAR
Thread kama hizi huwa zinatuonyesha BAVICHA ni viumbe wa namna gani.
Zaidi ya kutuonyesha kuwa CCM wameanza kutoa kafara za uchaguzi sambamba na kukata viungo vya ndugu zetu albino?.
hivi huwa unapitia, michango ya hao upande wa pili, pindi, mpinzani anapokufa??! tena iwe kwenye harakati za siasa, unaweza toa chozi!!, mala kitimoto amekufa!!
Thread kama hizi huwa zinatuonyesha BAVICHA ni viumbe wa namna gani.
Acha wafe c viherehere vyao?!! we umeshaambiwa kuwa hii kitu ni inflammable, husikii, tukufanyeje?Jamani Watanzania acheni kwenda kwenye mambo ya ccm. Ni machukizo!.
Ccm imekataliwa na Mungu, kwa nini watu wanaendelea kwenda? Waacheni wakusanyike na mafisi yao lakini sisi tupone!. Wakimalizana na mifisi, haitakuwa na madhara kuliko hasara hii wanayozidi kuliongezea taifa!.
Kila siku Ccm inaua watu!.
Wewe bwe.ge kweli yaani watu wamepoteza maisha yao bado unaleta umagamba wako? Inabidi ukapimwe akili siyo bure
Mungu mkubwa!! kwani hao ndio wanakawiza ukombozi.
Msome Kamanda mwenzio hapa.