Msafara wa CCM waua mmoja na kujeruhi watatu

H-K

Senior Member
Nov 7, 2014
106
23
Hii imetokea Jana(17-5-15) mida ya mchana katika wilaya ya Iramba maeneo ya misigiri ambapo watu walikua kwenye msafara wa kwenda kumpokea mkuu wa wilaya ya Iramba kwaajiri ya kufanya mkutano kama mgeni rasmi.

Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la MAULIDI aliyekuwa akiendesha bodaboda kupata ajali kwenye msafara huo kutokana na kuendesha pikipiki hiyo kwa kasi na mbwembwe za kumlaki muheshimiwa, alianguka karibu na daraja na kupoteza uhai papo hapo.

Mwanamke mmoja nae amevunjika mkono na wanaume wawili wamejeruhiwa vibaya wote wakipata ajali ya kuanguka na bodaboda zilizokua kwenye msafara.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya kiomboi na majeruhi wamelazwa katika hospitali hiyo.
PICHA za tukio sikufanikiwa kuzipata.
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Mkuu MUSSA ALLAN usipanic hii ni taarifa tu wala haina mlengo wa kisiasa
 
Jamani Watanzania acheni kwenda kwenye mambo ya ccm. Ni machukizo!.

Ccm imekataliwa na Mungu, kwa nini watu wanaendelea kwenda? Waacheni wakusanyike na mafisi yao lakini sisi tupone!. Wakimalizana na mifisi, haitakuwa na madhara kuliko hasara hii wanayozidi kuliongezea taifa!.

Kila siku Ccm inaua watu!.
 
Lichama limechoka na sasa wanaanza kutoa kafara za watanzania
 
Jamani Watanzania acheni kwenda kwenye mambo ya ccm. Ni machukizo!.

Ccm imekataliwa na Mungu, kwa nini watu wanaendelea kwenda? Waacheni wakusanyike na mafisi yao lakini sisi tupone!. Wakimalizana na mifisi, haitakuwa na madhara kuliko hasara hii wanayozidi kuliongezea taifa!.

Kila siku Ccm inaua watu!.
Acha wafe c viherehere vyao?!! we umeshaambiwa kuwa hii kitu ni inflammable, husikii, tukufanyeje?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom