Buntungwa JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 549 Reaction score 310 Apr 20, 2017 #1 Wakuu habari za jioni, Naombeni Msaada wenu kuhusu cable ipi nzuri kufanyia wiring ya nyumba kati ya hizi * tronics * Mcl * mmi * master
Wakuu habari za jioni, Naombeni Msaada wenu kuhusu cable ipi nzuri kufanyia wiring ya nyumba kati ya hizi * tronics * Mcl * mmi * master
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Apr 20, 2017 #2 Buntungwa said: Wakuu habari za jioni, Naombeni Msaada wenu kuhusu cable ipi nzuri kufanyia wiring ya nyumba kati ya hizi * tronics * Mcl * mmi * master Click to expand... Mkuu kiukweli toka moyoni cable nzuri ni East African cable waya zao ni quality sana,izo ulizoandika hapo juu zinasubiri kwa east african cable,kama uwezo wako ndo huo chukua Mcl
Buntungwa said: Wakuu habari za jioni, Naombeni Msaada wenu kuhusu cable ipi nzuri kufanyia wiring ya nyumba kati ya hizi * tronics * Mcl * mmi * master Click to expand... Mkuu kiukweli toka moyoni cable nzuri ni East African cable waya zao ni quality sana,izo ulizoandika hapo juu zinasubiri kwa east african cable,kama uwezo wako ndo huo chukua Mcl