jamani natumia moderm ya tigo na nahitaj iwe inatumia line zote msaada kwa anaefaham jins ya kunlock atakua amenisaidia sana,natanguliza shukran zangu wakuu!
model-E153u-1
imei:352375047373576
moderm ni ya tigo
siku nyingine usitembelee jukwaa pale unapokuwa na shida 2,,inabidi uje hata kusoma topic na kuchangia
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ermanently-unlock-huawei-e-153-usb-modem.html
daah isee imegoma wandugu!!!
Mkuu funguka zaidi maana mie yangu nime unlock temporary ikichomolewa tu inabidi uanze tena ku-unlock upya.....Ipo pia jinsi ya kuzi unlock hizo zenye namba mbele
Ipo pia jinsi ya kuzi unlock hizo zenye namba mbele
mie moderm yang ni E 173u-1.
Naweza kutumia unlocker ipi?
Ipo hii software ina unlock temporary so ukichomoa unarudia gwaride.
Software yenyewe nimeattach hapo chini.......cha kufanya weka hiyo line utakayo kutumia then chomeka modem yako a'fu usubiri mpaka dashboard ifunguke.
Ikisha leta error kwamba haisupport line uliyoweka wewe click ok then double click hako kasoftware niliko attach dhen subiri hadi iseme successfull then uiclick tena hiyo software.
Modem yako itakuwa temporary unlock .
Kama unatumia windows 7 hiyo software inapiga mzigo fresh tu ila windows xp na 8 install kwanza net framework 3.5 sp1
hii yangu sijui imekufa mkuu maana nimetumia hako kasoftware bado inazingua!!
mimi nikifungua hako ka software kananiandikia done lakin nikikonnect haikonect xaxa sijui tatizo litakua nn?