Hizo ni api guide sio api. Wakati nadownload api nikaletewa pdf hivyo Nimedownload
tigo_online_payment_api_guide.pdf
nimeipitia juu juu nikangundua wanatumia http/https protocol na json.
Developer wanatakiwa kutumia guide hizo kuandika api za mobile app( e.g android),web app na desktop software,hapo language kama java,php,JavaScript,python,c++ ie zinatumika.