Msada simu yangu

Msada simu yangu

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
inashndwa kudownload nmefuta appl zote nlzodownload lakin bado inasema memor aitosh. msada
 
+Ungeuliza kwenye jukwaa lake husika sasa hivi ungekua ushapata majibu kitambo
 
inashndwa kudownload nmefuta appl zote nlzodownload lakin bado inasema memor aitosh. msada
Kwenye app store imeset kila kitu kiingine kwenye simu badili na uweke kiingine kwenye memory na lazima ujue ubongo wa sinu yako una ukubwa gani ndio ujaze vitu kulingana na ubongo
 
inashndwa kudownload nmefuta appl zote nlzodownload lakin bado inasema memor aitosh. msada

appl..? nlzodownload? Uandishi wako mbovu umesababisha simu ishindwe kudownload..!
Halafu hili si jukwaa lake au umesahau?
 
Kuna mdogo wangu ana tatizo km hilo kwenye Sony yake,saidieni wakuu kama mnakashifu badala ya kutoa msaada..
 
Back
Top Bottom