L leo medy New Member Jun 15, 2019 4 2 Sep 11, 2019 #1 Great thinkers, Uwalimu wa sayansi mkopo lazima hatakama ulisoma private naomba mnijuze jamani
one wisow JF-Expert Member Sep 9, 2019 1,216 1,795 Sep 11, 2019 #2 Subiri wajuzi wa hayo masuala waje wakujibu... leo medy said: Jamani magreat thinker ualim wa sayansi mkopo lazima atakama ulisoma private naomba mnijuze jaman Click to expand...
Subiri wajuzi wa hayo masuala waje wakujibu... leo medy said: Jamani magreat thinker ualim wa sayansi mkopo lazima atakama ulisoma private naomba mnijuze jaman Click to expand...
de98 JF-Expert Member Aug 13, 2017 732 744 Sep 12, 2019 #4 Siku hizi mkopo ni bahati na nyota yako! Jipange kwa kila litakalokea mbele yako
Ringers JF-Expert Member Mar 9, 2019 281 339 Sep 12, 2019 #5 Muhimu omba dua tu kijana,asahivi mambo ni virse versa kama una damu ya kunguni basi ndo hivyo tena
DongoJeusi Member Aug 1, 2018 79 76 Sep 13, 2019 #6 leo medy said: Great thinkers, Uwalimu wa sayansi mkopo lazima hatakama ulisoma private naomba mnijuze jamani Click to expand... Katika utoaji wa mikopo kwa ngazi ya elimu ya juu bodi huwa haitizami kwamba anayeomba ametoke shule ya private au serikali Kinachoangaliwa zaidi ni zile kozi ambazo serikali wamezipa kipaumbele sana, muombaji kutoweza kugharamikia gharama za chuo ikiwemo ada Kwa ualimu wa sayansi wewe ni kipaumbele pia #jaribu kupitia guidbook kutoka bodi ya mikopo kuweza kuangalia unayoyahitaji
leo medy said: Great thinkers, Uwalimu wa sayansi mkopo lazima hatakama ulisoma private naomba mnijuze jamani Click to expand... Katika utoaji wa mikopo kwa ngazi ya elimu ya juu bodi huwa haitizami kwamba anayeomba ametoke shule ya private au serikali Kinachoangaliwa zaidi ni zile kozi ambazo serikali wamezipa kipaumbele sana, muombaji kutoweza kugharamikia gharama za chuo ikiwemo ada Kwa ualimu wa sayansi wewe ni kipaumbele pia #jaribu kupitia guidbook kutoka bodi ya mikopo kuweza kuangalia unayoyahitaji