Msada kwa nokia lumia520 kuwa nzito kwenye internet.

Msada kwa nokia lumia520 kuwa nzito kwenye internet.

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,145
Reaction score
250
Lumia yangu ina nishinda kwani ni zito sana kwa upande waku dauloding aplictation yeyote napia hata nikiwa na browes inakua sio fasta laini nayotumia nitigo hata nikibadili ni hivyo hivyo?
Nifanyaje mambo yawe yanaenda fasta coz mpaka na anza kuichukia lumia yangu.?
 
Hakikisha data settings zako ni 3g....lumia 520 ni kati ya simu bora kabisa kwenye swala la internet
 
Hakikisha data settings zako ni 3g....lumia 520 ni kati ya simu bora kabisa kwenye swala la internet

Ok vp naweza kubadilishaje na menyu yake? Maana hi ya vijiboksi boksi siipendi
 
Ok vp naweza kubadilishaje na menyu yake? Maana hi ya vijiboksi boksi siipendi

kiongozi huo ndo mwonekano wa windows phone 8.ni vigumu sana kubadili huo mwonekano...ila kuna skin packs zipo zinafanya mabadiliko ya izo tiles lakini nyingi hazirun smoothly.
 
Back
Top Bottom