Rafiki yako ama ni wewe?sema usaidiwe!
rafiki yangu ana umri wa miaka 23 lakini ana tatizo la kupiga punyeto,anadai amejitahid sana kujaribu kuacha lakin ameshindwa na anauweza kupiga hata mara 3 kwa siku pia imepelekea mpaka kukosa hamu ya kuwa na msichana kabisa.msada wenu jaman afanyaje aweze kuacha kupiga nyeto.
Funguka kijana naamini ni wewe,fanya mazoezi ya viungo alafu tafuta wanawake wenye nanii zinazo tight utapata shida kidogo ila baada ya miezi 6 utakuwa ushapona.
ukwel cna tatizo hilo
Rafiki yako ama ni wewe?sema usaidiwe!