Nakushauri ipeleke gari kwa fundi mtaalam wa magari kwanzaNaombeni msaada gari yangu nissan dualis steering imekuwa ngumu sana, haibadilishi gear ukiendesha mshale unapanda tuu ukishuka mpaka ushike break na pia ABS Inasoma kwenye dignosis.. in short imeuwa nzito sana..Naombeni ushuri ni nini shida.
Mwendazake hakukuachia hata IST?Jamii forum kila mtu ni tajiri
Peleka gari gereji.Naombeni msaada gari yangu nissan dualis steering imekuwa ngumu sana, haibadilishi gear ukiendesha mshale unapanda tuu ukishuka mpaka ushike break na pia ABS Inasoma kwenye dignosis.. in short imeuwa nzito sana..Naombeni ushuri ni nini shida.
Kwa haraka haraka kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu hii gari imeiwaYa 2007
🤣🤣🤣 dahGari mbovu unakuja kuomba ushauri jf badala ya kupeleka gereji.
Inaeleweka hiyo gari toka ununue haujawahi kuifanyia service...
Yes kuna jamaa yangu mmoja kama wewe, yeye alijua ukinunua gari unaendesha tu mpaka siku ikiacha kuwaka ndo unapeleka kwa fundi.
Basi jamaa aliendesha mwaka mzima bila kufanya chochote tangu anunue...drive shaft zikawa zinapiga kelele anashangaa imekuwaje...na hajui cha kufanya. Yeye alidhani ugonjwa wa gari ni kuto kuwaka basi.
Hilo ni tatizo la wengi, hasa wale 1st time car owners.Gari mbovu unakuja kuomba ushauri jf badala ya kupeleka gereji.
Inaeleweka hiyo gari toka ununue haujawahi kuifanyia service...
Yes kuna jamaa yangu mmoja kama wewe, yeye alijua ukinunua gari unaendesha tu mpaka siku ikiacha kuwaka ndo unapeleka kwa fundi.
Basi jamaa aliendesha mwaka mzima bila kufanya chochote tangu anunue...drive shaft zikawa zinapiga kelele anashangaa imekuwaje...na hajui cha kufanya. Yeye alidhani ugonjwa wa gari ni kuto kuwaka basi.
Oil change,break fluid na transmission fluid na coolant hajawahi kuchange wala kuongeza? Break pad imefika mwaka hajui zimetumikaje?😂😂Gari mbovu unakuja kuomba ushauri jf badala ya kupeleka gereji.
Inaeleweka hiyo gari toka ununue haujawahi kuifanyia service...
Yes kuna jamaa yangu mmoja kama wewe, yeye alijua ukinunua gari unaendesha tu mpaka siku ikiacha kuwaka ndo unapeleka kwa fundi.
Basi jamaa aliendesha mwaka mzima bila kufanya chochote tangu anunue...drive shaft zikawa zinapiga kelele anashangaa imekuwaje...na hajui cha kufanya. Yeye alidhani ugonjwa wa gari ni kuto kuwaka basi.
Mshamba huyoYani kumiliki gari ni utajiri ?
Hicho ni kifaduro cha Nissan mkuu, kimeshaumana hapo tafuta mtaalamu mzuri tu vinginevyo itakuwa msiba.Naombeni msaada gari yangu Nissan dualis steering imekuwa ngumu sana, haibadilishi gear ukiendesha mshale unapanda tuu ukishuka mpaka ushike break na pia ABS Inasoma kwenye dignosis.. In short imekuwa nzito sana.
Naombeni ushauri ni nini shida.
Kwa gari ndogo aina ya Nissan, ni model ya X-Trail ndio kidogo inahimili matatizo ya bongo.Hicho ni kifaduro cha Nissan mkuu, kimeshaumana hapo tafuta mtaalamu mzuri tu vinginevyo itakuwa msiba.
Kuhusiana na steering kua ngumu... Nissan Dualis inatumia steering ya umeme.. so steering ikiwa ngumu maana yake mota ya steering assist haifanyi kazi.. angalia kwenye dashboard yako je taa ya EPS imeweka? Kama imewaka basi rekebisha hilo tatizo.. and sometimes it can be a simple reason labda fuse imeungua so una-change fuse steering inakua poa.Naombeni msaada gari yangu Nissan dualis steering imekuwa ngumu sana, haibadilishi gear ukiendesha mshale unapanda tuu ukishuka mpaka ushike break na pia ABS Inasoma kwenye dignosis.. In short imekuwa nzito sana.
Naombeni ushauri ni nini shida.