IOS600 Member Joined Sep 9, 2018 Posts 7 Reaction score 1 Dec 25, 2018 #1 Mimi ni mwanafunzi wa kudato cha tano.Nataka kufanya uhamisho kwenda shule nyingine ya serikali nifanyejee?
Mimi ni mwanafunzi wa kudato cha tano.Nataka kufanya uhamisho kwenda shule nyingine ya serikali nifanyejee?
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,745 Dec 25, 2018 #2 Tafuta shule unayotaka kwenda ukipata nafasi, nenda ulikopangiwa ongea na head master akupe uhamisho, Kama unafatilia mwenyewe kuwa serious najua utazungushwa sanaa kwa ma afisa elimu wilaya na mkoa
Tafuta shule unayotaka kwenda ukipata nafasi, nenda ulikopangiwa ongea na head master akupe uhamisho, Kama unafatilia mwenyewe kuwa serious najua utazungushwa sanaa kwa ma afisa elimu wilaya na mkoa
texaz mc JF-Expert Member Joined Jan 15, 2016 Posts 371 Reaction score 205 Dec 25, 2018 #3 Unatoka wapi na unataka kuamia wapi mkuu?