Msaana fundi wa kufunga milango

mooslam

Member
Joined
Dec 30, 2022
Posts
12
Reaction score
10
Habari ya sahivi,
Natafuta fundi wa kufitisha milango ya mbao,milango tayari ninayo ,iko miwili.
Site iko kigamboni.
Naombeni namba ya mtaalamu wa kazi.
Sio dalali.
 
Habari ya sahivi,
Natafuta fundi wa kufitisha milango ya mbao,milango tayari ninayo ,iko miwili.
Site iko kigamboni.
Naombeni namba ya mtaalamu wa kazi.
Sio dalali.
Hizi mambo tafuta carpenter yoyote wa Kigamboni anafanya mbona, issues ndogo sana hizi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…