Wakuu naomba msaada nina simu aina ya samsung galaxy note 1 ,ina tatizo la kujizima pindi tu inapokaribia kuisha chaji halafu hainialert inakua kama na vimulimuli af inazima.pia nikiiacha usiku hata kama inachaji asubuhi nakuta imezima.please mwenye kujua tatizo anisaidie.