mkuu hujasikia malalamiko kuhusu chuo cha st.joseph? Yan mkuu hicho chuo achana nacho kabsaaa. Kuna uzi ushawahi kuanzishwa kuhusu chuo cha st.joseph na kuna wadau wanaosoma huko wanatutahadharisha kuhusu hicho chuo!

Wakuu msipotoshe jamii kwani kasema anataka kusoma ipi st joseph vipo vingi msikariri Kile cha arusha peke,ila mie nakushauri ungesema kwanza unataka kusoma diploma ya nini,alafu ndio wadau wangekushauri humu,St joseph sio vyote vinazingua.