Msaada

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
3,079
1,707
Wadau wa jukwaa hili naomba msaada wenu. Kuna ndugu yangu hapa kanunua simu aina ya ZTE,sasa kashindwa kujiunga na whatsapp,kaniletea nimsaisie.

Ukiingia playstore inakuuliza kama unataka ku add account google,either mpya au ya zamani,ukikubali inaenda kufungua wi-fi kusearch mitandao,itasearch kwa muda kisha itarudi mwanzo kuuliza kama unataka kuadd account google.

Hebu nielekezeni namsaidiaje huyu ndugu yangu na huu msimu wake wa kichina maana anavyoitaka wasap haina mfano.


Ushauri: Epukeni knunu asimu za kichina,ziogopeni kama ukoma(tecno,zte,huawei etc).

N.B. Huyu ndugu yanguhakuniomba ushauri kabla hajanunua,nisingemshauri.

cc: CHIEF MKWAWA.
 
Last edited by a moderator:
huwenda hapo hata setting za internet hana ndio maana inaenda kwenye wifi. akiingia kwenye browser kabisa anaweza kufungua website hata 1?

kuunga internet fanya hivi

nenda menu ya simu yako click setting halafu wireless and network (kama kuna more click hapo)

then click mobile network halafu click access point name.

bonyeza button ya menu kama huijui angalia hii picha

android-button.jpg


ukishabonyeza hio button utaona neno new apn click hapo connection name andika chochote mfano kichwa na apn andika internet

click back utaona active connection kwa mbele ina alama ya kijani hakikisha apn uliotengeneza ina alama ya kijani kwa mbele (inaweza kuwa rangi nyengine pia)
 
mimi fundi kama ataweza anipigie cm kwa namba hii 0785 290580 nitakueleza jinsi ya kuset na ikawa safi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom