Wadau wa IT niliroot simu yangu nikafanikiewa. Nikataka kubadili font, kwa kutumia font installer waliniambia ni backup nika ignore. Ilipo maliza wajaniambia ni boot ili effect ionekane. Niliposema ok iliboot bila mafanikio maana iliishia kuload tu bila kufunguka mpaka leo. Vp tatizo linaweza kutatulika nikaendelea kutumia kama mwanzo?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums