Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,629 Reaction score 5,262 Aug 22, 2013 #1 Voicemail nini?matumizi yake,jnc yaku2mia
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Aug 23, 2013 #2 Hata uki nyumbulisha maneno unapata maana (voice) sauti (mail) ujumbe so it means ujumbe wa sauti.. Sio sp wote wa bongo wanatoa hii huduma ... Nadhan utakua umeelewa na matumizi
Hata uki nyumbulisha maneno unapata maana (voice) sauti (mail) ujumbe so it means ujumbe wa sauti.. Sio sp wote wa bongo wanatoa hii huduma ... Nadhan utakua umeelewa na matumizi