Msaada

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,590
Reaction score
1,357
Fridge linawaka halitoi ubaridi wwte tatizo nn nisaidieni tafadhali.
 
1. Check na Compresor inawaka(inaunguruma)? kama Ndio
2. Gas itakuwa imekwisha hivyo unahitaji kujaza gas,

Kama haiungurumi, check na compresor huwa zinakufa.

Kwa haraka haraka kujaza kwa fridge kunaghalimu kama elfu 40 hadi 60 kutegemea na fridge yenyewe na ukubwa wa compresor
 
Fridge linawaka halitoi ubaridi wwte tatizo nn nisaidieni tafadhali.
  • Fuata ushauri wa askyade hapo juu
  • Nyongeza katiak hili: Kama compressor ni nzima basi Kabla ya kujaza gesi mwambia fundi akague hizo bomba zipitishazo gesi kama zina leakage mahali kwa upande wa ndani na nyuma ya fridge, ili pazibwe kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana ndugu zangu nimefanyia kazi kila kitu poa,tatizo lilikua gas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…