msaada

isco23

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
43
Reaction score
12
natafuta kazi nimemeliza Bachelor ya Agriculture general SUA
 
Ndugu naomba pia unisaidie jinsi ya kutengeneza composite kwa kutumia urban waste kwani mwenzio nimejiajili nimeshindwa kutembea na bahasha nataka kulima. Naomba njia ambayo ni cost effective.
 
vp nawewe kama mimi sio umemaliza mwaka gani
 
Watanzania bwana sijui tumekuwaje? hilo alilokuuliza mkuu hapo juu labda ni indirect interview maana naona linaendana na field yako badala ya kushusha nondo unauliza swali tena!!!! No wonder mnakaa mitaani.
 
hivi na wee umemshangaa e? duh, mi nachukua hiyo business idea kwakweli.thank you bugorobi.:A S kiss:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…