Msaada

Msaada

Kalukozi

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Wadau kwa wale wanaofahamu juu ya mikopo ya nmb nisaidieni kwa hili, nimekopa tsh 4,200,000, cash wamenipa 3,950,000 zingine wamekata, niliomba wanikate kwa mika mitatu ila deni wameniletea tsh 7,540,000 ikiwemo na riba ivi hii ni sahihi au nimeibiwa?
 
Back
Top Bottom