backup all files and hardware reset.
Kama bado then its a hardware fault..pole...no easy fix .
Nina maswali lakini kabla huja fanya chochote..
Umeweka new rom? Au umeiroot?
Ukiweka kwenye cable ya umeme na ku jaribu camera app ina reboot pia?
Imeanza baada ya ku weka app au ghafla?
:A S-coffee: