Haya walengwa, Paloma, Preta, na wengineo. Mkianza kuweweseka tu na hamtaki kwenda kwa Mkereketwa_Huyu mje hapa muiweke bayana adha yenu ili Dr. MziziMkavu amipatie kinga.

Hivi wanaume wa kizazi hiki wamekutwa na nini? Yaani kujiamini na kutongoza imekuwa ni kama zoezi la kuchinja kobe.
Utabaki unalialia hapa wenzako wanaendelea kumkamua huyo P.
Sasa mkuu ulivyoomba ushauri kwa Dr MziziMkavu ulitegemea atakupa ushauri wa aina gani zaidi ya huo?Hebu kuwa serious acha kumzingua dokta wetu. Dr umesema asubuhi mara ngapi na jioni mara ngapi vileee??