T tersha Member Joined Mar 14, 2013 Posts 25 Reaction score 12 Apr 10, 2013 #1 Kwa anayejua naomba anisaidie,ni viongozi gani wenye kinga ya kimahakama?
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Apr 10, 2013 #2 Kinga ya kimahakama kuhusu nini?
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,508 Reaction score 45,127 Apr 10, 2013 #3 tersha said: kwa anayejua naomba anisaidie,ni viongozi gan wenye kinga ya kimahakama Click to expand... kikatiba ni Rais wa nchi tu, wengine wote tunaburuzwa mahakamani muda na wakati wowote kama tutavunja sheria za nchi. kulikoni?
tersha said: kwa anayejua naomba anisaidie,ni viongozi gan wenye kinga ya kimahakama Click to expand... kikatiba ni Rais wa nchi tu, wengine wote tunaburuzwa mahakamani muda na wakati wowote kama tutavunja sheria za nchi. kulikoni?
T tersha Member Joined Mar 14, 2013 Posts 25 Reaction score 12 Apr 13, 2013 Thread starter #4 kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga
S sagemba JF-Expert Member Joined Jan 7, 2013 Posts 467 Reaction score 30 Apr 13, 2013 #5 tersha said: kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga Click to expand... Yeah wabunge pia wana kinga kwa mambo yote wanayoongea bungeni, soma ibara ya 100(2) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
tersha said: kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga Click to expand... Yeah wabunge pia wana kinga kwa mambo yote wanayoongea bungeni, soma ibara ya 100(2) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
EMT Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 14,477 Reaction score 15,356 Apr 15, 2013 #6 tersha said: kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga Click to expand... Mbona hukumpa mfano wa yule mbunge wa Bahi aliyefikiswa mahakama kwa tuhuma za kupokea rushwa?
tersha said: kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga Click to expand... Mbona hukumpa mfano wa yule mbunge wa Bahi aliyefikiswa mahakama kwa tuhuma za kupokea rushwa?