msaada

msaada

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
220
Reaction score
23
msaada tafadhali, flash disk yangu inanambia niiformat
Nikiformat inanambia "the disk is write protected"
 
Inawezekana ikawa ndo mwisho wa maisha ya flashdisk yako!kwani hizo ni dalili kuuu za kufa kwa flash ,lakini kama unaweza kutumia doss command jaribu kufungua au kuformat kutumia command kisha utaona respond yake.nambie unatumia windows gani nikupe hizo command.
 
hivyo inafaa kuformat kwa dos kweli? mi nijaribu force format kwa CMD na bado iganigomea. nilitumia command

format J: /FS:FAT32 /x (J ni directory mfano)
 
go to my computer, to find the drive letter of the hard drive. ie drive (E)

go to start, run, and type in cmd

a black DOS screen will appear.

from here you enter

format <drive letter (ie E)> "format e:" with out the " 's

it will say all data on this drive will be lost

do you wish to continue Y or N

hit Y, and the drive will be formatted.

Once complete it will ask for a drive name or press enter to continue.

Hope this helps
 
Inawezekana ikawa ndo mwisho wa maisha ya flashdisk yako!kwani hizo ni dalili kuuu za kufa kwa flash ,lakini kama unaweza kutumia doss command jaribu kufungua au kuformat kutumia command kisha utaona respond yake.nambie unatumia windows gani nikupe hizo command.

Natumia windows 7ultimate na xp sp2
 
Back
Top Bottom