Msâàdå

Jun 18, 2012
58
5
Nimeingia zoomtanzania.com nimeona post ya data entry clerk sasa kila nikiingia ilinichukue P.o.box au email na jina la kampuni inaniambie cm yangu aina uwezo.sasa naomba msaada wenu wadau@ 0718293901 email: ngajimalafocus21@gmail.com
 
kwa nn usitumie computer, nenda hata kwenye internet cafe arifu, "If you want something to happen do it your self"

ni kwa mtizamo wangu
 
Matumbo@well done...unajua kuna watu wameletwa dunia hii kwaajili ya ku_criticize wa2..wanaacha maisha yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom