Vanclassic
Member
- Sep 9, 2024
- 91
- 203
Mbon ata taa ya power on pia haiwak na feni haingurumi kbs imezimwa ila port za usb zina Motomkanda wa kioo
Nimefanya ivo Mara kibao lkni holaJaribu kutoa betri afu washa tena tuone
Itakuwa windows imekufa Fanya Tena installation mkuuNimefanya ivo Mara kibao lkni hola
Ni kweli ila mbona port zote za usb zinafanya kaz ukichaji simu inachaji vzurCircuit ina electric short mku,,
Haiwaki kbsa ata feni kimya ninachoambulia ni kuchaji simu tuItakuwa windows imekufa Fanya Tena installation mkuu
Badilisha betri hiyo au jaribu kutumia bila betri tuoneHaiwaki kbsa ata feni kimya ninachoambulia ni kuchaji simu tu