Msaada

Msaada

BABA BOMBASTIC

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
349
Reaction score
570
Habari
Mwenye kuelewa kuhusu internet anisaidie nataka kununua airtel router sasa bando la chini ni 70000 ambayo ni mbs 10 sasa nataka niwekanofficine kwa ajili ya kudownload movies je itanifaa au speed yake iko chini
 
Kama robo saa hivi kila movie speed yake, sema ina limit kuna wadau wanasema GB 500 kwa mwezi then speed inashuka. Eneo lako hakuna Fiber?
 
Back
Top Bottom