Mohamed mkami Member Joined May 7, 2022 Posts 51 Reaction score 85 Mar 12, 2024 #1 Habari wakuu natumai mko poa kabisa Moja kwa moja Nataka kujua kuhusu viwanda vya kutengeneza machine mbali mbali za ujenzi mfano zile za kuchanganya zege (za umeme) vilivyopo hapa (home land) Natanguliza Shukran.
Habari wakuu natumai mko poa kabisa Moja kwa moja Nataka kujua kuhusu viwanda vya kutengeneza machine mbali mbali za ujenzi mfano zile za kuchanganya zege (za umeme) vilivyopo hapa (home land) Natanguliza Shukran.