kama opera yako ni ya java inamaana unadownload picha miziki na sauti ila hutaweza kudownload vitu kama games na application za java maana itakutoa kwenye opera na kukuleta katika built in browser, kuweza kudownload mafile ya java kwa simu yako download ucweb au qq browes hii hapa link ya ucweb http://m.ucweb.com kama una tatizo zaid post aina ya simu yako