msaada

msaada

Kama kwenye viambatanishi vya simcard yako hakuna, tembelea moja ya ofisi zao.
 
Hebu jaribu kupiga ile namba 100 kisha sikiliza maelezo yao
 
Kwa ninavyojua the only way you can get your puk number ni kwenye kikadi ulichonunulia line yako, au kwa kuwapigia huduma kwa wateja wakutajie kama umepoteza hiyo kadi
 
hivyo vikadi vimepotea nikiwapigia tigo hawapokei wananiweka kwenye huduma ya kusuburi kila nikisubiri hawapokei.
 
hivyo vikadi vimepotea nikiwapigia tigo hawapokei wananiweka kwenye huduma ya kusuburi kila nikisubiri hawapokei.

Haya ndio matatizo ya huduma Tanzania, hususan TiGo, hawajui kabisa maana ya Customer Service, wenye afadhali ya customer service ni Zantel kwa nionavyo.
 
Back
Top Bottom