WADAU KWEMA? Poleni na majukumu.
Wakuu nimezitafuta hizi ngoma bila mafanikio mwenye nazo kupitia kifaa chochote naomba(simu,P.C au Compyuta n.k)
1.JAY MO FT NGWAIR&BAMBOO__NISAMEHE.
2.NGWAIR FT JAY MO,FEROOZ,SIR NATURE___MIDA MIBOVU.
3.JAY MO__HILI GAME REMIX.
4.JAY MO__MOCUMENTARY
5.STAMINA FT KING ZILLA__PUNCH AFRTER PUNCH.
Wakuu plz mwenye nazo naomba...Au kama kuna Link nzuri ambayo naweza zipata.
Shida ni kwamba Boomplay,Audio Mak hawana Option ya kudownload moja kwa moja kuja kwenye simu. Ntakuwa nimeeleweka wadau. Mnisaidie kwa hilo.
#forgive Me.