Msaada


M

mwambene

Member
Joined
Jul 16, 2011
Messages
5
Likes
0
Points
0
Age
42
M

mwambene

Member
Joined Jul 16, 2011
5 0 0
Nawaomba wenazangu tuliochaguliwa chuo kikuu cha bagamoyo kwa kozi ya education hasa wale wa awamu ya pili ninaomba sana tuwasiliane kwa namba 0782495588 au 0767495589 na 0714495588. Ili tuweze fanya mazungumzo ya pamoja. Ni muhimu sana.
 
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,033
Likes
914
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,033 914 280
Mazungumzo gan hayo,ebu yaweke hapa kwa manufaa ya umma,mcje mkawa mwataka kumuua jk bure?
 

Forum statistics

Threads 1,238,726
Members 476,123
Posts 29,327,770