donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,131 Sep 16, 2011 #1 ndio wakuu. naomba mnisaidie kwa wale wzee wenzang wa zamani kuna wimbo ulikua una kipande kinaimbwa : kila munu avena kwao. uliimbwa na nani na je naweza kuupata wapi jamani?
ndio wakuu. naomba mnisaidie kwa wale wzee wenzang wa zamani kuna wimbo ulikua una kipande kinaimbwa : kila munu avena kwao. uliimbwa na nani na je naweza kuupata wapi jamani?