msaada

envio

New Member
Jul 19, 2011
4
0
Habari za kazi ndugu,pole sana na majukumu ya kila siku.Ndugu mi nina shida ambayo imekuwa inaninyima usingizi kila siku.Nina wadogo wangu wawili ambao ni mapacha wote wako form four boarding kigoma,wamekosa kabisa ada ya kulipia ili wamalize masomo yao, Hapa ninapoongea wamefukuzwa shule wapo nyumbani na mtihani wa taifa ni mwezi wa kumi,mimi sina uwezo wa kuwasaidia ingawa najitahidi ili nione kama nitaweza kupata angalau ada kidogo.kila mtoto anadaiwa shilling 319,000 na wako wawili.mamyao hana tena uwezo wa kuwalipia tena ada kwani anaumwa na alikuwa anategemea kilimo.Ndugu yangu nilikuwa naomba msaada angalau waweze kufanya mtihani wa taifa.muda unazidi kwenda na hali ya kifedha si nzuri kwangu.Naomba tafadhali angalau kama wanaweza kupata mtu wa kuwafadhili hata wakapata elimu ya form four.Asante
Namba yangu ya simu ni 0762369068.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom