Msaada

hb81

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
289
Reaction score
181
Bachelor of science in microbiology
Jamani naomba msaada anko wangu kapata chuo kozi anayoenda kusomea ni hiyo hapo juu naomba kama kuna wenye ufahamu vizuri na hii kozi na matokeo yake mbeleni anijulishe uzuri wake na ubaja wake j ajira na kujiajiri. Asante
 
Ni course nzuri anaweza kuwa research scientist in entomology. Mashirika kama WHO yanawahitaji sana.
 
Ni course nzuri anaweza kuwa research scientist in entomology. Mashirika kama WHO yanawahitaji sana.
Asante alikuwa anataka abadilishe asomee udaktari wa binadamu vp ushauri wako ni upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…