MSAADA

Night Watch

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
2,102
Reaction score
2,152
Kwa sisi ambao hatujachaguliwa udom ila tulituma maombi,je round hii ya pili kutuma maombi tunafanyaje mana ukiingia kwenye profile yako uanakuta wameandika your application is successfully submitted na inaonyesha round ya kwanza

Je tunatakiwa kufanya nini ili tuweze kutuma maombi kwa ajili ya second selection,msaada tafadhali kwa anaelifahamu hili ukipiga simu hawapokei dawati lao la msaada udom,unabaki hujui ufanye nini.
 
Yaan kaka wengi tumepatwa na tatizo hili na tuna majibu
 
Udom hilo tatizo hata kwangu nashindwa kuapply second round maana nakosa sehem ya kuedit wameniandikia hivyo hivyo
 
Kuwa na subira naona bado hawajafungua dirisha la pili maana wakifungua huwa wana andika re apply
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…