Dah dadangu sina hakika kama utaweza kuipata bure kwenye net manake wanataka ununue kwa visa au master card, hebu jaribu kuwaona jamaa mtaani wakupe cd uintall mbona ziko mtaani nyingi tu, latest kwangu mimi ni 2011 ninayo cd ya 2007 MO shida ni kubwa siwezi kukuattachia nkakuinbox, unatumia ipi kwani kwasasa?