Msaada.

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Tafadhali yeyote anayeweza kupata mawasiliano ya wahudumu wa Makumbusho ya zama za mawe ya Isimila mkoani Iringa. Tafadhali Sana wadau.

Nimehangaika sipati, hawanawebsite, wala blog.. yaani hadi kero
 
Endapo utakosa,wasiliana na watu wa idara ya Mambo ya kale chini ya wizara ya maliasili na utalii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…