Ikiwa una sifa za kujiunga na A'level kwa mujibu wa necta basi unaweza.
Ila kama una division 1 au 2 basi nakushauri ukasome cert of laws UDSM mwaka mmoja tu, na ukipata distinction unakuwa na sifa za kujiunga na bachelor of laws UDSM moja kwa moja.
Yaani from certificate to bachelor...