msaada

msaada

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Kuna wimbo huimbwa kipindi cha watoto radio one kwa jina siujui
*watoto,wasafi mioyoni,ni nyota za macho kwawazazi,
sisi ni maua,,,, ,,,,,, ,,,
 
Nadhani ulishawahi kuwekwa hapa ngoja wadau waje hata mini nautafuta
 
Wimbo wa kitambo sana ule, nafikiri kuna sredi moja inazungumzia stori ya yule binti aliyeuimba huo wimbo.
 
Kuna video ya huu wimbo youtube, unaitwa Watoto umimbwa na verda arts mwimbaji anaitwa nippah ni professor huko india.

 
Back
Top Bottom