Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Juzi ni nunua simu kwa mtu tecno K7 ilikuwa haina tatizo lolote hata nilivyoweka fingerprint ilikubali tu tatizo jana nikarestore yaani nikafuta kila kitu ili niaanze na upya tatzo lilokuja kwenye kuadd fingerprient ina guma naandikiwa "FINGERPRINT ENROLLMENT DIDNT WORK TRY AGAIN OR USE DIFFERENT FINGER KILA " KAMA UNAVYOONA KWENYE HIYO PICHA. JE KUNA MTU YEYOTE MWENYE UJUZI ANISAIDI KWA HAPA