Nyumbani hapa kuna deki aina ya singsung tatizo ni kwamba ukiwa unaangalia mfano muvi picha inakuwa kama rangi nyeupi tu yaani haitoi rangi ya picha vizuri inabaki unaangalia muvi bila mwonekani wa rangiElezea vizuri, Mnashindwa kusaidika kwa Maelezo Hafifu!