zakaria massa
Member
- Sep 5, 2018
- 26
- 7
Nikisoma diploma in nursing and midwifery naweza kuwa specialist?
Specialist wa nn?? Labda wound dressingNikisoma diploma in nursing and midwifery naweza kuwa specialist?
Kama macho,mifupa,moyo and nkSpecialist wa nn?? Labda wound dressing
Kama macho.mifupSpecialist wa nn?? Labda wound dressing
Sio rahisi. Labda uwe MD kwanzaKama macho.mifup
Kwahyo MTU aliyesoma nursing and midwifery akijiendeleza anaweza kuwa nani?Sio rahisi. Labda uwe MD kwanza
Anaweza kuwa dégree ya ivo ivo au anweza kuwa MD ila itategeméa na matokeo ya sékóndarKwahyo MTU aliyesoma nursing and midwifery akijiendeleza anaweza kuwa nani?
Mimi nimemalz mwak Jana form4 Nina PCB =DCC NIMEPANGWA NURSING AND MIDWIFERY BADO CJAANZA CHUO NISHAULI MKUUAnaweza kuwa dégree ya ivo ivo au anweza kuwa MD ila itategeméa na matokeo ya sékóndar
Poa mkuuOmba mambo yasibadilishwe hapo baadae na serikalini hata MD unaweza kusoma