cezarichwa
Member
- Aug 16, 2012
- 29
- 2
jamani naombeni msada sehemu ya kusoma cd kwenye pc yangu imepotea ghafla tu ata kwenye driver nikiangalia haiko cjui nn tatizo ila mlango unafunguka na kufunga bila matatizo
Icheki kupitia device manager then fanya kama una update driver.jamani naombeni msada sehemu ya kusoma cd kwenye pc yangu imepotea ghafla tu ata kwenye driver nikiangalia haiko cjui nn tatizo ila mlango unafunguka na kufunga bila matatizo