Donald kaseka New Member Joined Sep 12, 2015 Posts 4 Reaction score 4 Sep 6, 2018 #1 Najaribu kuweka profile picture katik acc.yangu jamii forum nashindwa naomba mnisaidie.
Donald kaseka New Member Joined Sep 12, 2015 Posts 4 Reaction score 4 Sep 6, 2018 Thread starter #2 Sijataka maswal nimeomb msaada kama huez unapiga kimya ndugu!
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,831 Reaction score 20,345 Sep 7, 2018 #3 Na watu wanapita kimya kimya
manizzle JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 3,421 Reaction score 4,323 Sep 7, 2018 #4 Huku watu hawauzi sura kama fesibuku
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,824 Reaction score 13,781 Sep 7, 2018 #5 Karibu sana JF.............
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,629 Reaction score 7,166 Sep 8, 2018 #6 Donald kaseka said: Najaribu kuweka profile picture katik acc.yangu jamii forum nashindwa naomba mnisaidie. Click to expand... Ingia kwenye profile. Click hiyo D. Upload new profile picture. Taratibu zile zile kama WhatsApp. Karibu sana mkuu
Donald kaseka said: Najaribu kuweka profile picture katik acc.yangu jamii forum nashindwa naomba mnisaidie. Click to expand... Ingia kwenye profile. Click hiyo D. Upload new profile picture. Taratibu zile zile kama WhatsApp. Karibu sana mkuu