MSAADA

CABANA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
422
Reaction score
557
Wadau habari zenu..... ni kuhusu kozi ya B. in urban development and Environment management je nini future yake na ajira je zinapatikana... Pia ukilinganisha na Project planning management ipi inafaa zaidi.
 
MAONI YENU TAFADHALI.....
 
Wadau habari zenu..... ni kuhusu kozi ya B. in urban development and Environment management je nini future yake na ajira je zinapatikana... Pia ukilinganisha na Project planning management ipi inafaa zaidi.
 
Mkuu,,,, kusema ukweli tulio wengi pamoja na maarifa tuna ndoto ya kuajiriwa pia. asante
 
Ajira zipo we soma toka na first class 4.4-5.0 gpa,,, vile vile kichwan uwe smart, huwezi kosa kaz mkuu ni swala la muda tuu,

Hakuna anaye jua kesho, soma mkuu
 
Baba kwa hiyo GPA atapewa tuu au ataitafuta? Duuuuh madogo wajue chuo s kwamba unaenda tu na unaichukua degree tu kiurahis hivyo. Maana hata ulivyo mtajia hiyo GPA kana kwamba unaipewa tu
 
hii course full njaa achana nayo mkuu nakuambia mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…